Wednesday, August 17, 2005

Abambwa akimzini binti wa Mjeshi


Kijana aliyetambuliwa kwa jina moja la Koba,30, mkazi wa Golani Saranga pale Kimara Mavurunza nje kidogo ya jiji la Dar, anadaiwa kubondwa na kisha kufanyiwa vitendo vichafu na mjeshi mmoja wa JWTZ baada ya kubambwa akizini na binti wa miaka 16 wa askari huyo ndani ya gheto lake.

Hatahivyo, Koba mwenyewe amekana kufanyiwa mambo ’machafu’ na kudai kuwa licha ya kufumaniwa kweli na binti wa mjeshi chumbani kwake, hakutendewa visivyo na badala yake alipelekwa kwenye baraza la usuluhishi katika serikali za mitaa ambako huko ametakiwa kulipa faini ya sh.200,000 kwa mwenye mtoto.

’Sijafanyiwa kitendo chochote kibaya na baba wa binti niliyefumwa naye...nilipotakiwa nitoe faini hiyo ambayo sikuwa nayo, nikaweka rehani kiwanja na hapo suala likapoa,’ akasema kijana huyo wakati akizungumza na mwandishi wa habari hii, akikana juu ya uvumi ulioenea kwenye maeneo ya kwao kuwa eti, amelawitiwa na ’babamkwe’ mjeshi ikiwa ni kumkomesha juu ya tabia yake ya kuzini na kitoto hicho ambacho jina limehifadhiwa.

Gabriel Kilave ambaye ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Mavurunza pale Kimara, amekiri juu ya kutokea kwa fumanizi hilo la mjeshi na binti yake dhidi ya kijana Koba na kwamba suala hilo wangali wakilishughulikia. ’Huyo kijana aliyefumaniwa amepewa miezi mitatu kuanzia siku ya tukio ambayo ni Julai 24 ili alipe kiasi hicho cha fedha(sh.200,000) kama faini.

Asipofanya hivyo, atahatarisha amana aliyoweka ambayo ni kiwanja,’ aksema mwenyekiti huyo wa serikali ya mtaa. Habari ambazo mwandishi alizinyaka awali toka kwa ’washkaji’ wa kijana Koba, zimedai kuwa baada ya mwanajeshi huyo kupewa taarifa za bintiye kuwepo nyumbani kwa boifrendi wake(Koba) akipewa mambo, alikusanya kikundi cha watu na kuungana na wanajeshi wenzie watatu ili kwenda nyumbani kwa kijana huyo ili kufanya fumanizi bab kubwa na kumkomesha huyo anayemharibu bintiye.

’Huyo mwanajeshi alitufuata kijiweni kwetu akiambatana na wenzake pamoja na raia kadhaa. Kufika, akatuamuru tumuonyeshe nyumbani kwa Koba na hapo tukalazimika kuongozana naye hadi huko...tulipofika akatuamuru tubaki nje, tukatekeleza agizo. Kisha yeye akaingia ndani kinguvu na kweli akamkuta mwanawe wa kike amepindwa kama samaki huku anapewa dozi ya hatari.akambeba juujuu hadi nje,’ akasimulia mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo.

Halafu? ’Baada ya kumtoa binti yake nje, yule mjeshi akarudi ndani akamlazimisha Koba kulala kifudifudi kisha tukasikia kimyaaa baadae tukasikia vilio vya mahaba na sauti ya mjeshi ikisema panua vizuri halafu katika saana...Koba akaitikia hayaaa...!zikapita kama dakika 20 ndio tukamuona mwanajeshi anatoka akiwa kachoka hasa na ...halikuwa tukio la kawaida,’ akasema mmoja wa marafiki zake walioshuhudia tukio hilo na kuamua kulisimulia kwa mwandishi bila kificho.

Hiyo haitoishi, akasimulia kijana huyo kuwa: ’Mara akaanza kumpiga. mwishoni mwa yote akamkwida na kusema anampeleka kwenye serikali ya mtaa ambako atamshitaki kwa kumfuma na bintiye isivyo halali. Mimi na wenzangu wa kijiweni tukageuza mapema maana ilikuwa aibu sana kwa swahiba wetu.’

Ndipo baada ya kupata maelezo hayo, Komesha lilimsaka mhusika Koba ambaye yeye, ndipo akakana kufanyiwa mchezo wowote ule mchafu na badala yake akakiri kuwa ametozwa faini kwenye ofisi za serikali ya mtaa wao baada ya kubainika kuwa anamharibu binti huyo ambaye ni ’denti’ wa chuo kimoja cha ufundi(VETA). Alipoulizwa juu ya mkasa wa kulawitiwa, Koba akaja juu na kusema: ’Wanataka tu kuniharibia jina langu...na nyie msiniulize maswali ya kijingajinga.

Kama kutembea na huyo mtoto kweli, lakini sio kwamba nimelawitiwa. Mkiandika hivyo nawashitaki kwa sababu hamna ushahidi wowote,’ akasema Koba. Naye dada wa kijana huyo alipohojiwa kuhusu namna anavyoelewa masahibu yaliyomkuta kaka yake, akasema kuwa naye alianza kuzisikia habari hizo toka kwa mtoto wa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wao ambapo alitakiwa aende kwenye ofisi za serikali ya mtaa huo haraka.

’Nilimkuta mdogo wangu Koba akiwa kama amechanganyikiwa kwa hofu kwa sababu huyo mwanajeshi alikuwa akimtishia kuwa atampeleka kambini kwao na kumpa adhabu kali endapo hatalipa hizo fedha alizoamuriwa,’ akasema dada huyo aliyejitaja kama Mama Sara ambaye hatahivyo, alilalama kuwa hicho kiwanja kilichowekwa rehani na mdogo wake ni chake na kwamba ana mpango wa kwenda kulalamikia suala hilo.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home

WAGONJWA WA KANSA
WAGONJWA WA KANSA
Niandikie