Majambazi wateka mtaa mbagala
Ni kama mchezo wa sinema za Rambo pale Jiji lilipotetemeshwa na kundi la majambazi baada ya kuvamia mtaa mzima na kupora
Majambazi hayo yakitumia staili za wale wacheza sinema, walitumia bunduki yenye stendi na kisha kuisimika barabarani na kumwaga mvua za risasi na kuwaacha wakazi, wafanyabiashara, abiria na madereva wa magari kukimbia ovyo na wengine wakijikuta wakikumbana na risasi hizo zilizokuwa zikitimuliwa ovyo.
Isome zaidi....

6 Comments:
Karibu Swai mtaalamu wa uchawi wa kizungu!
Your blog is great I'm sure you'd be interested in Zits Stop Zits
Aiithee babaaangu nimekubali!!
hii inaashiria nini?
A fantastic blog. Keep it up. If you are looking for healthy skin related stuff, I'm sure you'd be interested in healthy skin Come check it out if you have time.
Your blog is creative Keep up the great work. Maybe you could stop by my site sometime here: healthy skin
Post a Comment
<< Home