Wednesday, August 17, 2005

Mbavu unazo??? gonga hapa


*kuna jamaa alipata ajali akakatika mdomo wa juuukatoka kabisa sasa doct akafanya utundu akachukuwa shavu la kuma akashonea pale lenye mavuzi kwa sababu jamaa alikuwa namustachi jamaa akapona vizuri akapewaruhusa kwenda home sasa tabu ikaja kwajamaa kila akilamba mdomo mboo inadindakurudi hspt doct kapewa uhamisho

*Hakimu ana muuliza mtuhumiwa kwanini una mfanyamkeo kinyume na maumbile ?mtuhumiwa ana jibumuheshimiwa hakimu ninamatatizo ya kisukari kwahiyo situmii chumvi

*Kulikua na mkutano kuhusu unyanyasajiwa kijinsia, wanaume wakalalamika kupigwana kuonewa na wake zao.Basi, ikaamriwa wale wanaonyanyaswa na wake zao wakaemstari mmoja na wasionyanyaswa wakaemstari wa pili. Ni mmoja tu aliyekaa mstari wa pili(wasionyanyaswa kwa kipigo) alipoulizwa ehe! mbona umekaa mstari huuwakati kila siku unaleta mashtaka,akajibu Mke wangu ndiye kaniambia nikae mstari huu!!.

*Mwalimu mmoja aliwapa wanafunzi wake kaziya kuchora kisha akaondoka. baadae akarudina kuanza kukagua kazi aliyowaachia.Kazi yenyewe ilikuwa kuchora ng"ombeanakula nyasi.Mwanafunzi mmoja alionekana hajachora,mwalimu alipomuuliza wewe ng"ombe wako yuko wapi??Dogo akajibu:...alikuwa hapa lakini kaondoka sasahivi!!
Kuna mtoto mmoja mdogo ambaye huwa ananalalana mama yake na amekuwa na tabia ya kuzoea kuwa na simu ya mama yake ambayo ina vibrate badala ya mlio.Siku moja wakiwa wamelala mama akapitiwa na ushuzi ule wa kimya kimya...akastuka na kumwamsha mama yake...mamaaa simuuu simuuu inaita

*Muuza viwanja amekwenda kuchumbiaakapewa mahari ya milioni (20)akashtuka akasema kwani hiyo kuma iko main road

*Kulikuwa na mazishi ya jamaa mmoja mvuta bangi, wakatisheikh anaendelea kumzika huyo jamaa akaita majaniakimaanisha aletewe majani kaburini amalizie mazishi mara maiti ikaitika......Temba hapa!!

*muhudumu wa mortuary alikata uume wa maiti akamuonyeshe mkewe jinsi ulivyo mkubwa ,mkewe alipo uona alipiga kelele kwanguvu kwa mshituko akiuliza hivi jonh kafa lini

*Kuna mama mmoja mjamzito alikaa vibaya,mwanae wa miaka 5 anaitwa Matteka
akaonamavuzi akamwambia "mama utazaa dume " mama akauliza "kwa nini?" mtoto akasema "naona ndevu zimeshatangulia "

*Mambo ya mtandao yanachanganya sikia kisa hiki.jamaa mmoja alinunua simu ya kiganja na ilikuwani mara yake ya kwanza kutumia,alikuwa na namba ya rafiki yake kwenye karatasi mfukoni akaamua ampigie ili amfahamishe kuwa na yeye ana simu wakati anapiga kwa bahati mbaya simu ya rafikiilikuwa imezimwa akasikia sauti ikimwambia(namba ya simu unayopiga kwa sasa haipatikanitafadhali jaribu tena baadye)ikabidi jamaa aulize,ama haipatikani sasa wewe unayejibu ni nani? haya tena

*uboo uliyaambia mapumbu vaeni twende disco mapumbu yakasema leo hatuendi kila tukiendana wewe unaingia sisi tuna baki nnje

*Jamaa mmoja alikuwa anaumwa akaenda hosp kufika huko dr akamwambia kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukali ikabidi amzuie kulavituvitamu jamaa akaafiki kufika nyumbani akamuingiliamkewake kinyume na maumbile mke wake akalalamikajamaa akamwmbia kuwa dr kamzuia kula vitu vitamuna sehemu inayoluhusiwa kufanya hilo tendo nitamuhivyo inabidi aende kinyume.

*Kuna jamaa mmoja alikuwa analala chumba kimojana housegirl wao chumbani kulikuwa na kitanda cha double decker jamaa analala chini house girl analala juu basi jamaa akapanga kumnyatia...akapandajuu na kabla hajafanya majamboz yule dada akashtukaakawasha taa akamuliza vipi yule jamaa akafikichamacho akasema aah nimedondoka kutoka chini kwenda juu.

*Jamaa mmoja aligongwa na gari akaumia sehemu ya mdomo yaani nyama za lips zikaondokaikabidi wasamalia wema wakambeba mpaka polisi ili wapewe pf3 ndo waende hospitali sasa ktkkuandikisha maelezo polisi wakajua jamaaanawacheka wacha wampige bila kujali kama jamaa kaumia vibaya sana’ahaaa.

*Kulikuwa na mama mwenye watoto wawiliambao walikuwa kero kwa wizi kijijini, ikabidi mama huyo awapeleke kwa mchungaji wapate kuombewa,akaanza na mkubwa mambo yakawa hivi: MCHUNGAJI:Unamfahamu Mungu?MTOTO:Mmmmmmh,aaaa! Akatoka mbio na kukutana na mdogo wake KAKA:Unajua ninini? MDOGO:Sijui KAKA:Mungu ameibiwana sisi ndiyo washukiwa. Kwa jinsi walivyokuwa wezi walihisi wanatafutwakwa kumuibia Mungu...Ikabidi watimuke mbio!!!

Kisa cha mmasai na rafiki yake mfanya biashara ni hivi MB: aha mmasai mambo vipi MMASAI: aithe powa MB: nisindikize net hapo nikapige photocopy karatasi zanguMMASAI: hakuna tabu ndugu yangu> ila alikuwahajui mambo ya net mmasai MB: mzee wa netnaomba photocopy za karatasi hizi 6 NET BOY:akamutolea photocopy sita mmasai akaona duh maajabu ila alimezea MB na MMASAI wakaagana siku ya pili mmasai akarudi kule kwenye net na chapati yake moja. MMASAI: aise msee wa net hapari yako NET BOY: safi MASAI MMASAI:naombanitoleshee hii chapati ziwe 6 basi watu netwakaanza kicheko

Nilikuwa mgeni katika familia moja huko maeneo ya Kinondoni,ile nafika tu,nikakuta maongezi kati ya baba,mama na binti yao; Mama:”We nguruwe,kwanini hujaosha vyombo mpaka saa hizi?”Binti:”Si huyo fisi alichelewa kula”. Baba:”We nyani muambie huyo tumbili wako anishikie adabu”.Ilikuwa nikae hapo kwa siku mbili lakini niliaga baada ya nusu saa.

Kulikuwa na bosi mmoja tatizo lake kubwa anakojoa kitandani hivyo basi akawa anaonaaibu akaamua kwenda kwa mganga mganga akamwambia huyo ni jini anaye sababisha akojoe kitandanitena anakujaga saa6 usiku hivyo akapewa dawa amsubiri ili amuue lakini wakati bosi anamsubiriyule jini usingizi ukampitia akalala ndotoni akahisi yule jini amekuja hivyo akamfukuza yule jini akaingia chooni bosi akaamua amnyee yulejini ili afe asubuhi alipo amka akajikuta amekunya hivyo akagundua tatizo limeongezekabadala ya kuisha akaamua ampige mganga kwa kuwa ana kunya na kukojoa

Jamaa mmoja Shemeji yangu Mpemba alinitia aibu kubwa huko UK wakati tunaanza mizungukoya mjini siku ya pili tu tangu tufike huko,nikaamua tuchukue basi ili niweze kumtembezavizuri huko london.Sasa tukaingia kwenye basi la ghorofa na kwa bahati mbaya kule chinikulikua na nafasi moja tu nikaamua kukaa mimi..na yeye akaenda juu.Kituo kilichofuata ikabidimimi nikaungane naye kule juu na mara nilipofikanikamkuta anatetemeka ! He! una nini tena? akanijibu Lo! Ammii!,gari laenda bila usukanii!!

Kulikuwa na majambazi ambao waliteka treni,wakawa wanapita kila behewa kuchukuwa vitu vya watu, na ukikataa wanakudunga na sindanoyenye vijirusi vya ukimwi. Basi jamaa mmojaakakataa, na jambazi hakuchelewa kumdunga.Jamaa likaanza kucheka. Jambazi akishangaaakamuuliza; wewe mbona unacheka na wakati uko kwenye hatari sana? Jamaa likajibu; ha..mi mwenzako nimevaa condom!!!!!

Siku moja jamaa mmoja alikua anapita mitaaya uswahilini, mara akakutana na mtotommoja analia kwa huzuni sana. Yule jamaaakaingiwa na huruma na kumuuliza yulemtoto nini kimemsibu, yule mtoto akasemaamepoteza Tsh 50/=. Jamaa akatoa Tsh 50/=mfukoni na kumpa yule mtoto kwa huruma.Cha ajabu yule mtoto hakunyamiza bali alizidisha kilio, jamaa akashangaa sana!Akamuuliza ” dogo unalilia nini tena wakati pesa nimesha kupa”? Dogo akajibu ” Nalia kwasababu ile Ths 50/= isingepoteaningekua nina Tsh 100/= sasa hivi pamojana hii uliyo nipa.

Maisha ya mume na mke yalikuwa hivi Mume wangu usifanye mazoezi bafuni pisha namimi nioge Bwana akajibu sifanyi mazoezi mke wangu narukarukaili nikauke sina taulo
ANGALIA SAA YAKO ..... Kuna mtu mmoja alifariki dunia na akaenda kwa Mungu,alipofika akakuta saa za ukutani nyingisana zimetundikwa. Akauliza ”Hivi hizisaa ni za nini huku?” Akajibiwa naAskofu mkuu aliyemkuta huko,”Kila saa ina dhambi za kila Binadamu,ikizunguka mara moja ina maana ametenda dhambi mara moja”. Yule jamaa akauliza”mbona hii hapa imesimama ni mbovu? Akaambiwa hiyo ni ya mama Theresa,na inamaanisha kuwa hakutenda dhambikabisa ndio maana imesimama.Jamaa ikabidi aulize tena,Hivi saa ya George Bush iko wapi kati ya hizi? akajibiwa ya Bush iko ofisini kwa Bwana Yesu mwenyewe maana anaitumia kama feni kwa jinsiinavyozunguka mara nyingi na kwa kasi

unajua daladala za zenji abiriawanatazamana kama wanataka kulawali wa harusini. siku moja nikiwandani ya dalada, mara baada ya kondakuchukua nauli akaanza kurudisha chengi.Bibi mmoja baada ya kupokea chenjiakamuuliza konda”mwanangu huna karatasi”konda akajibu sina. sasa ndani ya daladala kuna mwanafunzi akatoa karatasi moja na akampa yule bibi. yule bi akashangaasana na akasema ”watoto wa siku hizi wamezididharau”. Kumbe yule bibi alitaka apewa pesaza noti............. hahahahaha!!

Jamaa mmoja baada ya kuoa mke naakakuta bikira alienda kwa wazaziwa yule binti na kushukuru.Ndipo wale wazazi wakamwambia usitushukurusisi baba washukuru waliokuwa wanamfi**a!!!!.jamaa akazimia palepale

JAMAA ALIPITA PEMBENI YA WODI YA VICHAA,MARA AKASIKIA NDANI KICHAA ANAHESABU 13,13,13.........KAJIULIZA MBONA HAENDELEI KUHESABU? AKAENDA KUCHUNGULIA KWENYE TUNDU YA FUNGUO MLANGONI ILI APATE KUONA VIZURI.............MARA YULE KICHAA AKAMTOBOA JICHO NA KUENDELEAKUHESABU 14,14,14.......

Kulikuwa na wamakonde wawili Train Station wakisubiri Train Kwa bahati nzuri ikapita train wakakimbilia kwa bahati mmoja akawahi mmoja akabaki Yule jamaa akaanza kucheka watuwakamuuliza unacheka na hali ya kuwa umeachwa,akasema nnacheka kwa sababu yule aliepanda alikuwaananisindikiza mimi.

Mama Fatuma alimzoesha mwanae Fatuma kumletea zawadi kila akirudi kutoka sokoni.Siku moja akajisahau hakuleta, Fatuma akakasirika sana, akamwambia mama yake, ’leo hujaniletea zawadi!!’ huku akilia,Fatuma akamwambia mama yake ’sikwambii baba anawambiaje baamedi tukiwa naye baa’ akilia bado Mama mtu akachanganyikiwa hukunakule kimbia dukani akakusanya zawadi kila ghasia ili apate hayo maneno aliyonyimwa.. Fatuma haya nieleze. Fatuma akasema huku akiigizasauti ya kilevi..’ we malaya mwanangu hanywibia hebu mletee Fanta orange’ mama akasonya!!mwanae yule mbio akicheka..

Mama mmoja alikuwa pekeyake nyumbani kwake jioni moja.mara akaja rafiki wa mume wake, akamuuliza kama mumewe yupo.Mama akajibu kuwa angerudi kama saa moja hivi ijayo.Baada ya kimya cha kama dk 10 yule bwana akamsifiayule mama kuwa ana chuchu bomba, kisha akamwambiakama atakubali kumuonyesha chuchu mojawapo atampatiash. elfu 50, mama akafikiria kwa muda kidogo, kisha akatoa blauzia na sidiria, jamaa akachabokwa dk kadhaa kisha akampatia yule mama sh. elfu 50.Baada ya kimya cha kama dk 20 jamaa akamwambia yule mama.matiti yako ni mazuri sana, ukinionyesha yotekwa pamoja nitakuongezea elfu. 50 nyingine.mama wala hakusita, jamaa akala chabo kama dk. 10 kisha akampatia pesa yake na kuondoka. Mme wake aliporudi mama akampokea na kumwambia....Rafiki yako Tony alikuja kukusalimia, amekusuburisana kisha akaamua kuondoka. Mme akauliza hukuametoa mimacho...amekuachia laki moja yangu ninayomdai??

Polisi shoga.yukokatika doria akitazama huku na huko kwa mbali anamuona mtu akiyumba bila shaka mlevi anajisemea moyoni. polisi shoga anamsogelea mlevi na kumfuma anakojoa barabarani. shoga polisi anamuuliza mlevi.haya babu wee ndionini huna hata haya kukojoa hazarani hujui vibayawe mtokea pabaya mwana izaya. mlevi anamcheka nakuendelea kukojoa. hivi hunisikii we kinyangunyahaya chukua pingu hii ujifunge babu eee unanukapombe alafu nenda mwenyewe kituoni kawaelezee jinsi ulivyokua unafanya muone kwanza dude lake linatisha.mlevi kicheko anajikata huku akicheka kufa

Kuna familia moja walitaka watoto wao walale kila mtu kitanda na chumba chake sasa mama akanzakuwaambia wanawe wawili mmoja wa kiume ana miaka saba na mdogo wa kike ana mika minne,kuanzia leo weweutalala humu peke yako wakiume akakubali wa kike ilipofika zamu yake kupewa chumba akasema yeye anaogopa kulala peke yake tena kitanda chake peke yake akakataa katuu na kusema we mama mwenyewe unaogopa ndo maanaunalala na baba basi we ulale humu peke yako na miminiende kule kwa baba....

Kuna kinyozi mmoja alikuwa ananyoa ghorofa la juu.Ikatokea amehamia ghorofa la chini.Akaandika tangazo kuwajulisha wateja wake kama ifuatavyo:”kinyozi aliye kuwa ananyoa juu sasa anyoa chini”.wateja wakamuhama maana walidhani jamaa ananyoa sehemu za siri kumbe ananyoa ghorofa la chini

Kulikuwa na marafiki wawili wanatafuta kazi nchini uingereza,sasa mmoja anajua kizungu mwingine hajui..kimbembe kikaja siku ya interview:Wa kwanza kuingiakwenye interview akawa anayejua kimombo..mambo yakawakama hivi: swali la mwazo:please tel me when was thelast world cup? jibu:2002. swali la pili:who was thebest player? jibu:ronaldinho. suli la tatu:are you sure?jibu:i think so but i am not sure. sasa baada ya kutoka nje akampa mwenzake yule aliyekuwa nje ambaye hajui kizungumajibu yoteee,alivyoingia nyeye mambo yakwa hivi.swali la mwazo:what is your date of birth. jibu:2002 swali la pili:what your name jibu:ronaldinho. swali la tatu:are you crazy jibu: i think so but i am not sure haaaaa.

Mzee mmoja wa Kichaga ambaye alikuwa mkali sana kwabinti yake anaamka asubuhi na ..kutaarifiwa kwambabintiyake ana mimba!Mzee wa Kichaga: "Aithee we Manka, nakwenda kazini,nikirudi leo ni lazima uniambie ni nani kafanya uchafuhuu" Anafoka na kuondoka kuelekea ofisini.Mchana anapigiwa simu na Mama Manka na kuambiwa kwambayule jamaa aliyempa mimba bintiye yupo nyumbanianamsubiri kwa mazungumzo!Mzee anachukua panga lake na kulinoa kabisaaa kwaajili ya kwenda kumteketeza mwanaharamu huyo.Kufika nyumbani mambo yanakuwa hivi:Kijana aliyempa mimba binti: Mmmh Mzee ni kweli mindiye nimempa mimba binti yako, na kusema kweli sinampango wa kumuoa.Lakini akizaa mtoto wa kiume nitakupa US$ 1 million naghorofa Kariakoo kisha nachukua mtoto. Akizaa mtoto wakike nakupa US$ 1 million na duka Sinza! Lakini jemzee, ikitokea bahati mbaya mimba hii ikaharibikaitakuwaje?Mzee wa Kichaga: Aithee babaangu itabidi tu umpe mimbanyingine, hakuna jinsi!

Kuna jamaa walizamia meli ya matunda kufika katikatiya bahari waka shtukiwa, mabaharia wakawaamuru kilammoja akachukue tunda analo penda,wakwanza alikuaMhaya yeye akaja na ndizi, wale mabaharia wakamuamuruavue nguo na kuanza kuisokomeza matak**ni, yule mhaya akawa anacheka sana, kuulizwa kwanini anacheka? au ni shoga?akasema yeye anamcheka ’mpemba’ anakuja na fenesi**********!!!!!

Jamaa mmoja alikuwa anaandaa kifungua kinywa,akagonga yai la kwanza halina kiini.La pili holaakashikwa na ghadhabu sana akajikuta anasema shitttyani hata kuku siku hizi wanatumia kondomu.

7 Comments:

At 6:02 PM, Anonymous Anonymous said...

[u][b]Xrumer[/b][/u]

[b]Xrumer SEO Professionals

As Xrumer experts, we possess been using [url=http://www.xrumer-seo.com]Xrumer[/url] for the benefit of a sustained fix conditions and remember how to harness the massive power of Xrumer and build it into a Banknotes machine.

We also purvey the cheapest prices on the market. Numberless competitors desire order 2x or even 3x and a destiny of the continuously 5x what we responsibility you. But we maintain in providing prominent mending at a small affordable rate. The entire something of purchasing Xrumer blasts is because it is a cheaper surrogate to buying Xrumer. So we focusing to support that thought in recollection and afford you with the cheapest rate possible.

Not just do we be suffering with the greatest prices but our turnaround heyday after your Xrumer posting is super fast. We intention secure your posting done in the forefront you discern it.

We also cater you with a roundish log of loaded posts on contrary forums. So that you can get the idea seeking yourself the power of Xrumer and how we hold harnessed it to help your site.[/b]


[b]Search Engine Optimization

Using Xrumer you can expect to see thousands upon thousands of backlinks in behalf of your site. Many of the forums that your Site you force be posted on oblige great PageRank. Having your tie-in on these sites can categorically help found up some top grade endorse links and really as well your Alexa Rating and Google PageRank rating utterly the roof.

This is making your site more and more popular. And with this increase in reputation as familiarly as PageRank you can envisage to lead your place definitely filthy high in those Search Engine Results.
Transport

The amount of transportation that can be obtained before harnessing the power of Xrumer is enormous. You are publishing your plat to tens of thousands of forums. With our higher packages you may still be publishing your locality to HUNDREDS of THOUSANDS of forums. Create 1 post on a popular forum disposition usually enter 1000 or so views, with signify 100 of those people visiting your site. Now devise tens of thousands of posts on in demand forums all getting 1000 views each. Your shipping ordain withdraw sometimes non-standard due to the roof.

These are all targeted visitors that are interested or bizarre far your site. Deem how assorted sales or leads you can succeed in with this colossal gang of targeted visitors. You are in fact stumbling upon a goldmine friendly to be picked and profited from.

Retain, Above is Money.
[/b]

GET YOUR INFERIOR DEFAME TODAY:


http://www.xrumer-seo.com

 
At 10:12 AM, Anonymous Anonymous said...

[B]NZBsRus.com[/B]
Lose Sluggish Downloads With NZB Downloads You Can Rapidly Search High Quality Movies, PC Games, Music, Software and Download Them @ Blazing Rates

[URL=http://www.nzbsrus.com][B]NZB Search[/B][/URL]

 
At 5:53 AM, Anonymous Anonymous said...

Receipt Our Adverse Prices at www.Pharmashack.com, The Unusual [b][url=http://www.pharmashack.com]Online Chemist's workshop [/url][/b] To [url=http://www.pharmashack.com]Buy Viagra[/url] Online ! You Can also Constrain to Underlying Deals When You [url=http://www.pharmashack.com/en/item/cialis.html]Buy Cialis[/url] and When You You [url=http://www.pharmashack.com/en/item/levitra.html]Buy Levitra[/url] Online. We Also Suppress a Stupendous Generic [url=http://www.pharmashack.com/en/item/phentermine.html]Phentermine[/url] On account of Your Intake ! We Give up Pre-eminence betray [url=http://www.pharmashack.com/en/item/viagra.html]Viagra[/url] and Also [url=http://www.pharmashack.com/en/item/generic_viagra.html]Generic Viagra[/url] !

 
At 6:28 AM, Anonymous Anonymous said...

Configuration the zoological with two backs casinos? analyse this grassy [url=http://www.realcazinoz.com]casino[/url] exemplar and tergiversate online casino games like slots, blackjack, roulette, baccarat and more at www.realcazinoz.com .
you can also frustrate with our untrained [url=http://freecasinogames2010.webs.com]casino[/url] standard‘nesis at http://freecasinogames2010.webs.com and worst existent folding transmute !
another exhibitionist [url=http://www.ttittancasino.com]casino spiele[/url] purlieus is www.ttittancasino.com , because german gamblers, dub dissatisfy abolished online casino bonus.

 
At 4:19 AM, Anonymous Anonymous said...

Someone deleted a variety of links from multishare and easy-share servers.

From now, we will use www.tinyurlalternative.com as our default [url=http://www.tinyurlalternative.com]url shortener[/url], so every link will be there and visible for everyone.

You can choose from several great [url=http://kfc.ms]short url[/url] address like:

kfc.ms easysharelink.info jumpme.info megauploadlink.info megavideolink.info mygamelink.info myrapidsharelink.info mytorrentlink.info myurlshortener.com mywarezlink.info urlredirect.info urlshrinker.info weblinkshortener.com youtubelink.info and many others.

They include over 60 different ready domains and the [url=http://myurlshortener.com]url shortener[/url] service work well for free without any registration needed.

So we think it is good idea and propose you to use [url=http://urlredirect.info]url redirect[/url] service too!

Thank you.

 
At 7:47 PM, Anonymous Anonymous said...

Hi Guys,Just registered here and looking to have a great time. I am looking for the best cash gifting program out there in the internet. Can you guide me?

Below are some sites that I found and I am not sure how much they are going to help me.
[url=http://www.squidoo.com/Residual-Cash-Forever-Cash-Gifting-System]cash gifting[/url]
[url=http://www.squidoo.com/Residual-Cash-Forever-Cash-Gifting-System]join cash gifting[/url]
[url=http://www.squidoo.com/Residual-Cash-Forever-Cash-Gifting-System]best cash gifting program[/url]

 
At 11:29 PM, Anonymous generic viagra said...

Thanks for sharing such an interesting post with us. You have made some valuable points which are very useful for all readers

 

Post a Comment

<< Home

WAGONJWA WA KANSA
WAGONJWA WA KANSA
Niandikie