
Ndio watu wangu ndio mimi mwenyewe Kijana Terrie kwa kifupi tu ni kuwa ninaishi Mbezi beach ndani ya heka kumi nimejenga Jumba la kufa mtu naishi humo na mwanangu mmoja na Chui wangu pamoja na walinzi kumi na mbili ndani na nje.
Nina gari ndogo za kutembelea kumi ambazo ni Range rover new model ya mwaka huu,Benzi S 500 jeusi lina seat za leather nyekundu,Jeep jeupe kali,Valnuet V2500 black,Ford Fury 3000,Free lander,Land crueser VX V12, BMW new model na nyingine nyingi sizikumbuki.
Ninamiliki makampuni kibao hapa mjini yenye mitaji ya kuanzia billioni 100 na kuendelea
Yaani kwa kifupi nina pesa ya hatari.
Nina uataratibu wa kutoa misaada kwa waitaji jaribu kuniona nikusaidie lakini msaada usizidi bilioni 50.
Asanteni,
Terrie

1 Comments:
Kweli wewe ni Swai haswa msee wangu...
Post a Comment
<< Home