Monday, September 05, 2005

Buriani Rafiki yangu Frank Mutabuzi

Frank Mutabuzi nilifahamiana naye mwezi wa tatu hapa kazini na kama mfanyakazi mwenzangu wa idara moja.Tumekuwa kama marafiki na wafanyakazi tunaoelewana sana kwa kipindi chote cha uhai wake.
Frank alikuwa mcheshi mshauri na mtu wa kutia moyo zaidi sana alikuwa ni mtetezi wa wenzake hasa pale anapoona haki haitendeki kwa mtu.Kifo chake kimenistua sana maana kimetokea nusaa tu baada ya kuachana naye kwa ajali mbaya ya pikipiki iliyotokea eneo la mandela road-external.

Frank nitakukumbuka kwa mengi picha yako itanichukua muda sana kunitoka,kama binadamu nimeumia sana.

Mungu aifariji familia nzima ya marehemu katika hiki kipindi kigumu cha majonzi,Amen

Terrie.

6 Comments:

At 4:22 AM, Anonymous Anonymous said...

Blog is creative . i wil bookmark this site. Interestingly enough, I have my own blog about cheap auto insurance what do you think about my site about cheap auto insurance

 
At 1:43 AM, Blogger mwandani said...

Pole sana, Kaza moyo ndugu yangu. Pole. Chema hakidumu, ndiyo mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

 
At 9:04 PM, Blogger darrelandres3746 said...

i thought your blog was cool and i think you may like this cool Website. now just Click Here

 
At 4:49 PM, Blogger Jeff Msangi said...

Pole sana Terrie,
Ndio dunia yetu hii ndugu yangu.Tunazunguka na kukatiza mitaa huku tumeshikilia kifo mkononi.

 
At 10:19 PM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Pole sana ndugu yetu. Ndio safari ya maisha.

 
At 5:41 AM, Blogger mark msaki said...

dear Terrie,

wote sie ni wasafiri. Mungu amlaze pema peponi. amen.

 

Post a Comment

<< Home

WAGONJWA WA KANSA
WAGONJWA WA KANSA
Niandikie