Wednesday, August 17, 2005

Mwanafunzi wa la nne abakwa live!!!


Mwanafunzi wa darasa la nne jina tunalihifadhi mkazi wa Kwambonde wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani, amejeruhiwa vibaya baada ya kuingiliwa kinyume na maumbile. Mtuhumiwa anayedaiwa kutenda unyama huo ni Ramadhani Said, 25, ambaye anadaiwa kumnyemelea mtoto huyo wakati akitokea shuleni.

Pata uhondondo....

0 Comments:

Post a Comment

<< Home

WAGONJWA WA KANSA
WAGONJWA WA KANSA
Niandikie